Tuesday, June 4, 2013

Picha za Jinsi Marehemu Ngwear Alivyopokelewa Leo Airport Dar es Salaam




Mwili wa Marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia May 28 huko Johannesburg leo umeingia Dar es salaam na kupelekwa moja kwa moja hospitali ya Muhimbili, umati wa watu  umefika uwanja wa ndege kushuhudia na kumpokea Ngwea.



Aliewahi kuwa manager wake kwa miaka mitatu mfululizo, Tippo, akiwa uwanjani tayari kwa kumpokea Albert Mangwea





No comments:

Post a Comment