Maajabu ya uumbaji yamemfanya mama
mzazi wa Xiao Wei ambaye ni mchina amwage machozi akiomba
msaada wa kunusuru maisha ya mwanae mwenye umri wa miezi 7
aliyezaliwa na makalio matatu...
Kalio la tatu lipo kama mkia mfupi, wenye urefu wa sentimita 8 ( 8 cm ), katikati ya makalio mengine mawili.
Akiongea kwa uchungu, mama mzazi
wa mtoto huyo amedai kuwa kwa muda mrefu amekuwa akiwaomba
madaktari wafanye upasuaji wa tako hilo lakini wao wamekuwa
wakimjibu kuwa hiyo si kazi nyepesi kama anavyodhani....
"Tukilikata
litaota tena, hivyo hatutakiwi kukurupuka na badala yake
tutakiwa kupata muda wa kupitia vitu vingi ukiwemo mrija wa
uti wa mgongo ambapo kalio hilo limejiegesha"...Alisema daktari mmoja akimjibu mama huyo
No comments:
Post a Comment