Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mkutano wa kwanza wa ushirikiano
wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa leo Juni 5,
2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa Singapore katika hoteli ya Swissotel
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore. Kulia ni balozi wa Tanzania nchini Singapore Injinia John Kijazi
No comments:
Post a Comment