Saturday, July 20, 2013

BEEF YA MANGE NA SINTA PARTY 2-MANGE KIMAMBI AMJIBU SINTAH



ILA WABONGO MNAPENDA UMBEAAAAAAA NIMEAMINI JANA....DUH... MPAKA MNA CRUSH WEBSITE.......SHIKAMOONI WABONGO....
Anyways, naomba tuendelee na maisha….YALIYOPITA SI NDWELE….Kwa kweli ni ngumu kubishana na mwanamke ambae katika lile gazeti langu loooooooooooooooooooote  point alioiona ni ya mtoto wa Adeline.     Jamani I give up, nabwaga manyanga nilidhani ntaweza kumuwelesha lakini nimeona siwezi na kwa ugomvi pia simuwezi so I give up. Hivi kweli mtu hajaguswa na swala na mtoto wake yeye kaguswa na swala la mtoto wa Adeline Mushi????? Au sababu Sally Rose is very cute ndo anaona anafaa kutetewa. Mtoto wako ni wako mteteee wa kwako acha issue ya SallyRose iongelewe na Ade huwezi kuwa na uchungu na Sallyrose wakati huna uchungu na mtoto wako mwneyewe. Mwanamke hata siku kuweka post ya “happy birthday my son, I love you", hata bila picha sawa ila sema tu “happy birthday toto mama anakupenda ,mama anakumisssssssss, chum chum toto” ila kimyaaaaaa......

Anyways, wazungu wanasema think before you open your mouth, think. Hivi kweli you think ningeachia comments za kumtukana mtoto wa Adeline eti saababu nina ugomvi na Adeline????? Unadhani mimi mpumbavu kama wewe? Hivi ulichukua hata sekunde mbili kuwaza kama kweli naweza kugombana na mtu then nikaanza kumu attack mwanae. Ni hivi the moment wewe kama mwanamke unam frustrate mwanamke mwenzio mwenye mimba ya miezi 7, for one whole week unamtumia message hakujibu hata moja, hapokei simu zako then ukawa unapita sehemu ukaona gari yake ukaona si hajibu msg wala hapokei simu sasa nimemkamata, ukapark gari ukaingia ndani bila salamu ukaanza kumtolea maneno makali matokeo yake mkapigana without you even kuwa na uwoga au huruma huyu mwanamke mwenzangu ana mimba ila unasema na nitakuzalisha leo, which means uko tayari kuua mtoto wake, hivi huoni kama huyo mmjamzito ana haki zote za kuachia comment za kumtusi mtoto wa huyo mwanamke? Kwanza huwezi fananisha kumrushia mwanamke mjamzito ngumi na mtoto kutukanwa.Hata kama ningeachia comment elfu 10 za kumtukana mwanae mwanae asingebadilika kitu ila yeye ngumi moja tu alionirushia bila kujali hali yangu kuna uwezekano mkubwa KENZO asingekuwa hapa leo. Naomba usiongelee tena hilo swala la mtoto wa Adeline sababu unazidi kuonyesha watu ni jinsi gani ulivyo mjinga na huna hata uwezo wa kuchukua muda ukatafakari jambo. Hata kama mimi ningekuwa ndo nimemchokoza Adeline kwenye simu, yeye knowing mimi mjamzito asingenifata physically na kupigana na mimi. Angeondoka zake anisiburi nizae aje kunipiga mangumi....So acha kuchekesha kadamnasi na hii issue....
Kwanza nahisi kipindi  ile issue inatokea bado ulikuwa exile ndo maana hata hujui facts. Unaongea tu. Bado hujakoma kuwataja watu kwenye ugomvi wkaati wanakasirikia ukiwataja.Although wanaongea na wewe kwenye simu hawataki watu wajue wanajuana na wewe sbabau wanaona unawashushia status. JIFUNZE. Just siku zile Shamim kidogo akumeze ulivyomtaja  leo umemtaja Ade. Acha…… Kati yangu mimi na Ade, Ade ndo alitafuta sululu ya ugomvi sio kwamba najigamba hapana ila nakuonyesha kwamba kama yeye angeona kuwa nilikosea kuachia comment za kumtukana mwanae asingekaa kuongea na mimi kamwe mtoto anauma sana asikwambie mtu, Ila alijua kuwa alichofanya kwa mtoto wangu alie tumboni kilikuwa ni kikubwa na kibaya zaidi kuliko maneno aliyosemwa mwanae. Tukasameheana tukaendelea na maisha. Sasa usilete story za mwaka 47.........
Alafu wewe huwezi kuwa na akili zaidi yangu mimi  usijifanye mjanja eti mwambieni aweke ushahidi ,mwambie aweke facts kama kweli nimechukua mkopo.
Mbona juzi na jana ulinywea ukawa mpole unatishia kuwasue access, umeona watu wanakucheka ndo unaibuka sijachukua mkopo mie. Mbona ulikuwa kwenye shock juzi ? Mbona umeenda kufile complaint access?Unajijua hujachukua mkopo unaenda kufile complaint ya nini?
Unadhani una akili zaidi yangu, eti niweke evidence hapa, the moment nikiweka evidence hapa ya kitu kama hiko nitakuwa nimekunufaisha vibaya mno, ni sawa sawa na watu wanaopiga chura teke wakidhani wamamuumizaza kumbe wanamsogeza hatua 10 mbele ya safari yake.
Chief nikiweka evidence hapa then nimekupa hard core facts za wewe kushinda kesi dhidi ya access  tena im sure wata settle bila kwenda court tena watasettle siku hiyo hiyo maana hakuna kampuni inataka hiyo kitu. More over my dear fan alienipa data kwa mapenzi nitakuwa nimemwaribia maisha yake just because nataka kujionyesha mimi ndo mshindi , trust me im not that stupid to be tricked by an idiot like you. I choose my battles , I don’t fight every battle especially If I see no prizes for the winner. If i snitch she will never get hired by any one, you think I would be sooooooooooo selfish nisimfikirie mtu aliefanya something like this just for me nimwaribie maisha yake eti sababu nataka kuprove watu sinta kachukua mkopo? Aisee you are not that important. Siwezi kumwaribia mtu life yake eti sababu nataka kuharibu swaga zako. Huna maana kiasi hiko.

You will never win this case hata Kama Nimrod Mkono achukue case yako as a pro-bono project, chief you wont win. Its your word against theirs, labda ulimwambia ndugu yako yeye akasema, au ulimwambie, rafiki yeye akasema kwanini usingizie ni mfanyakazi wa benki? Nani kasema ni mfanyakazi wa bank? Mange aliandika kwenye blog? sorry Mange nikiulizwa nitasema ukweli,which is mimi Mange Kimambi nina tabia ya uongo naanza therapy soon bado sijapona so nilivyosema vile  nilidanganya tu ili nimuuzi bidada....UPO HAPO????.....
The only person that can make the bank liable for anything is me. COZ im the only one that that can show show proof if mfanyakazi wa bank ndo alinipa information or not. Na swala la mimi kutoa hiyo information ni ndoto za abunuwasi maana hata nikipelekwa Guantanamo bay nikawa tortured chief SISEMIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII……Kwanza watu watakuwa wanaogopa kuniambia chochote….Guys feel free kunipa mainfomation ya hawa amabo mnajua siwezi kuwajua  ili niwe nawafunza adabu mara moja moja…..SITOKAA KUTAJA MTOTO WA MTU…...
DADA ULIENIPA DATA NAOMBA UKAE OFISINI KWA AMANI TENA BENUA NA MATAKO UKIPITA KWENYE CORRDIDOR, OFISI INA WANAWAKE   KIBAOOOOOOOO WATATAFUTA MCHAWI MPAKA ASUBUHI......

Access Bank you are the best bank in Tanzania, nitawaletea wateja wengi mie mwneyewe nikiwa mmoja wapo , msiogopeshwe na huyu mtu  she has nothing on you. Dharau zake za mikopo ndo zilizofanya watu wanamcheka. Kuchukua mkopo ni kitu kizuri mnoooooo na hata siku moja siwezi kumdharau binadamu mwenzangu eti kachukua mkopo mie mwenyewe hapa ikitokea bank ikanipa loan ya kufanya bongolicious iwe big brand unadhani ntakataaaaa, uwiiii ntauchukua fastaaaaaa…
Ila huyu nimemwanika sababu alikuwa anajifanya kuwabeza wenye mikopo wakati yeye mwneywe alikuwa anautafuta.
Kwa vile naishi nchi za nje naomba niweke ushadihi wangu ambao ningepende utumie kuwatetea ACCESS BANK

MY OFFICIAL STATEMENT THAT CAN BE USED IN ANY LEGAL PROCEEDINGS AGAINST ACCESS BANK BY CHRISTINE SINTAH  AKA JLO.
I have never had any official contact with any employee or representative of access bank in the past to discuss their financial relationship with Miss Manongi. Access Bank, its employees of representatives have never disclosed any information relating to Miss Manongi or any other person to me. If any of my past statements on my blog  implied that this kind of unproffesional and illegal  behavior occurred between me and Access Bank. Im hereby officially apologizing to Access Bank , A BANK that is viewed by many as people oriented, they are one of very few banks in the country that are willing to go the extra mile to provide Tanznaians with  much neded loans.
I would like to urge iits customers and investors to have faith in the bank because they have been nothing but a professional bank.
WE LOVE ACCESS BANK.
Access bank nitawaletea wateja wengi sana wa mikopo. Naamini hizi siku mbili mmepata application nyingi sana za mikopo maana maellfu ya watanznaia wamejua kuwa mnatoa mikopo even without one having a stable source of income as long as they show passion.
Big up kwa wale ambao mlienda nje ya nchi kusoma huko chuo kikuu mkazaa na professer wa chuo na mwisho wa siku huyo professior alikupa  vifavor ukaweza kutoka hapo chuo na cheti cha 1st class au upper 2nd. Maana kuna wengine waliozaa na maprofessor wa chuo, tena waume za watu alafu wana disco chuo kwa kutokuwa na ubongo wa kumudu masomo ya chuo kikuu. Really mshawahi kusikia mtu kajitoa muhanga  katembea na professor wa chuo au kazaa na professor wa chuo alafu akafukuzwa chuo asi graduate??? Mange Kimambi ningezalishwa na lecturer wa chuo uwiiii mngenikomaaaaaaaaaa, tungeanza chuo siku moja ila siku ya graduatioons mngeshangaa badala ya kugradute na degree ningegraduate na PhD mngejijua nimeitoa wapi……..Akili ni nywele chief….. Nilale na Prof, tena mume wa mtu alafu nidisco????? kiruuu...Ila pia kamaningekuwa nimefanya hivyo ningerudi Dar kimya kimya wala nisingeanza kuwaumbua watoto wa watu nawaita Malaya na kujifanya eti ninarekebisha tabia zao wakati tabia yangu ndo muozo muozo muozo. Na kujifanya nawashangaa wanaochukua waume za watu wakati mie mwenyewe nmwanangu babake ni mume wa mtu katulia na familia yake.  Ningekuwa nakaaa kimya wala nisingekuwa nafatilia ndoa za watu. Na nisingekuwa naweka comment za kudai Mange ni bastard alizaliwa nje ya ndoa although Mange ni mutoto halali ya ndoa although wazazi walitengeana later. Ningefikira kwanza hata mwanangu pia ni bastard kama Mange bora nikae kimya.
Bidada uwe unaangalia kwanza na watu wa kukuonea wivu. Uchokonoe watu na ushari wako wa uswahilini tukushushue alafu ujifanye unaonewa wivu? mfyuuuu....Nikuonee wivu kwa kipi? Mimi nikija bongo nauza nguo kwenye corridor home nauza mpaka nachoka kuuza , biashara nayofanya in 1 week wewe utafanya in 1 yr. Alafu niwe na wivu? Niwe nna wivu huku nawatangazia watu biashara zao? Kwanza kabisa naomba uwapigie watu picha za dukani kwako uwawekee waone wahesabu nguo zipo ngapi then watajudge kama nakuonea wivu au la? Wenzio wakitangaza maduka kwenye blog huwa wanaweka picha za maduka yao, sasa wewe mashauzi yote huweki picha za dukani kwako.Weka picha wakuone JLO kwneye duka lako lilivyo la ukwee  mpaka Mange Kimambi anaeishi L.A anakuonea wivu…..hehehhheheehehhehehehehehehehhehe…..Uwiii nimefuliajeee, duka la sinza lenye gauni 2 za china linanikosesha usingizi basi nahisi Virago la Mishi  la Mikocheni linakaribia kuniuaaa kabisaaaaaa kwa presha.......chezea wivu....

Naomba uwawekee picha moja tu….. Jamani wajionee wedding Lounge.... Hivi watu wanajua maana ya neno wedding Lounge jamani? Nguo 2 za wedding tena za mchina  ambazo hakuna mdada wa mjini hata mmoja atakaa kuvaa ndani ya duka na vibanio vitano vya plastic havifai kuita sehemu wedding lounge.... Embu google wedding Lounge... Sorry naleta dharau ila anayatafutaga mweneywe huyu nae. Mtu unajijua huna mbele huna nyuma alafu unapenda ugomvi... Muwage mumaniwachaaaaaaaaaa......Mnanichokoza nikiongea oooh anajifanya tajiri...Nikomeni....Yes watu walishaenda kuchungulia wakanirushia habari ila mimi sina roho mbaya amskini ya Mungu sikutaka hata kuweka comment ya kuwaaambia watu the real situation. Maana sina roho mabay na mtu. Ila ingekuwa wewe ungesharusha comment duka lenyewe lina wedding dress 6,  viatu pair 10 hazifiki. Wabongo wanadharau jamani maana walivyonieleza nilichoka mwenyewe...lol..Ila unayataka mwneyewe ,jikubali acha kuishi maisha yasiyo kwa kwako.
Mkopo ni kitu cha kujivunia sio kitu cha kuabisha, sio kila mtu anapewa mkopo na bank kwanini usiwe proud kuwa umejiweka sawa mpaka ukaaminiwa ukapewa mkopo ila hapana unatana mashindanio ya mjini kuwa na wewe untoka familia ya pesa huitaji mkopo….lolest….. Kuna dada mmoja nilienda dukani kwake, huyu dada hatukO hata close  ila nimeingia tu dukani kwani akaniambia siku hizi nashinda dukani sitoki aisee maana nimechukua mkopo bank kuongezea biashara iwe kubwa kwa hiyo siendi hata bar siku hizi maana nisije kudaiwa pesa za watu bure. Sasa huyo ndo mfanyabiashara aliepevuka maana anajua mkopo ndo habari ya mujini. Donald Trump mwenyewe ana mkopo wa benki sasa wewe unakosa amani na raha ya maisha kisa mkopo???? Inaonyesha jinsi gani huna elimu na nahisi uli disco first yr and also hukuwa unasoma university proper maan bongo form 6 tu hukusoma so huko UG uliendaje university? Au labda ulifeki results na amtokeao yako masomo yakakushuinda coz uliingia level sio yako. Ungekuwa kweli umesoma chuo kikuu ungejua kwamba sometime makampuni huwa yanachukua mkopo mkubwa zaidi ya ule wanaouhitaji sababu mkopo unapunguza tax obligation, ungeona jinsi net profit inaongezeka au inapungua kutokana na punguzo la tax ambalo linasababishawa pia na malipo ya mkopo. But again huwezi jua yote hayo unachojua ni siishi kwa mkopo, siishi kwa mkopo utadhani umeambiwa mkopo maana yake wewe ni maskini.lol…....Kuku wa kienyeji bwana.....

Anyways, nimechoka na wewe, sina muda wa kukujibu au kukupa usharui maana hushauriki wala nini. Ila ungeambiwa na Shamim ungesikia labda sababu ana pesa za bure unahisi atakuongezea mtaji….lol......Mimi hunisikilizi...
By the way uwe na shukurani aliekurudisha kwenye chati mjini ni mimi…. Uliblog zaidi ya mwaka hakuna mtu aliekua na time na wewe, ulivyoanza tu maugomvi na Mange Kimambi na mie nikawa fala nikakujibu uwiiiii ukajulikana kona zote za dunia. So uwe na shukurani ukumbuke come back yangu nilipewa na Mange.Tatizo come back yenyewe inadalili ya kuwa  kama ile ya Michael Jackson this is it. Ina dalili za kuisha kabla ya kuanza,………lol
By the way hivi nimesoma vibaya au kasema yeye ni mchaga. Upare umeishia wapi tena???? I thought ni ndugu yangu Yule wa upareni??? Uwiiiiii mtu anaku admire hadi anabadilisha kabila……hahaahhahahhahahhahaha …..

KWAHERI, KAA HUKO HUKO NA BALAA LAKO…….ETAENDELEA KUTEMBEA PEKE YAKO MJINI KAMA WALE VICHAA WAOKOTA MAKOPO. ILA ITS GOOD TO LOVE UR SELF, NASKIA HATA MOVIE UNAENDA MWENYEWE KWA RAHA ZAKO...HEHEHEHEEH.HAKI YA NANI SIKU IKIFIKA KWAMBA MJI MZIMA DAR HAKUNA HATA ANAETAKA KWENDA KULA LUNCH NA MIMI  MPAKA NAKAA MEZANI MWENYEWE KAMA MWANGA HATA KILLY JANGA ,KINA KEPTEN HAWANITAKI UWIIIIIII NTAJITUNDIKA……

Kaniharibia swaum. Shetani kanishinda leo. Nguvu zake zimenikamata. Nisomeeni dua jamani kehso niendelee na swaum. Leo imebidi nile ubwabwa tu Kenzo….. Narudi tena kwenye ile ile hali yangu ya kumsahau kama yupo duniani. Na nyie wasomaji wangu naomba mfnayekama kawaida yetu msitume comment zinazomuhusu as you know humu tunawapenda wanaopeda mikopo wasiopenda mikopo tupa kuleeeeeee….Tumsahau please , naomba msinitumie any comment about her. Naomba tuwe na nguvu ya kuishi kama hayupo duniani kama jinsi wanawawe wa bongo wanavyofanya…....


PS: Hivi jiulize kimbelembele choooote cha ugomvi na mimi kila siku, naomba nikuulize kuanzia juzi mpaka leo, nani kaachwa uchi? mimi au wewe? yANI kiTU ulichoweza kukipata ni kuhusu mtoto wa Adeline... Hujioni mjinga? Embu soma hizo comment za linda hivi kuna kitu chochote cha maana alichoandika zaidi ya matusi????mimi sijawatukana tusi hata moja ila hamtolala mwezi mzima huu....Ona wewe financial situation  nje, Kutoa K kwa mume wa mtu tena professor wako njeeeeee...... Sijui unapata faida gani kuanzishaga maugomvi.... ????Unamfurahisha BEDUI macomment yake yanarushwa wakati mwenzio yalimshinda akajichimbia sasa anapigana vita huku anakutumia wewe kama shield.... Macomment yoooooooote ni ya BEDUI matusi tuuu hakuna point.KILA MTU KESHAMZOEA HASTUI MTU....... Linda is firing bullets from a rusty shot gun wakati kasimama nyuma yako  using ur body as a shield huku Mange nareturn fire from an AK47 ambazo zooooote zinakupata wewe Linda anasevu. Alafu kumbuka hujavaa bullet proof vest......JINGA KWELI WEWE........BEDUI hata upost 1,000 comments about me, you won't feel any better coz at the end of the day you will still be that mother in the land of opportunities with free education that couldnt even get her daughter to graduate from high school in the 21st century.Thats a heavy burden for any mother. Nothing will make you feel better.....The guilt must really eat you up. You might have worn for having the dirtiest mouth in the world but you have FAILED AS A MOTHER...I CANT IMAGINE THE LOOK ON YOUR FACE WHEN OTHER MOTHERS BRAG 'MY DAUGHTER IS IN COLLEGE, WENGINE MINE IS STARTING THIS FALL, AND YOU ALL YOU CAN SAY IS MINE IS THE GRAND DAUGHTER OF NYERERE DID YOU KNOW NYERERE? HE WAS BIG BIG BIG NAME ,THOUGH HER FATHER NEVER RECOGNIZED HER AS A NYERERE SHE IS STILL BIG BIG BIG BIG NAME....THAT MUST HURT.........POLE.......  Hhahahha, mamaa wakuzaa na na ma big name....lol...
ILA SINTA NAKUSHAURI UENDELEE KUMPA CHANCE LINDA AWEZE KUTOA COMMENTS MAANA KABANIWA KOTE ATAKUJA KUKUFAA BAADAE KAMA  UKISHINDWA KULIPA MKOPO MAANA ANA JUA JINSI YA KUKWEPA MIKOPO BY FILING BANKRUPTCY AKIDHANI BANKRUPTCY HAINA IMPLICATIONS ZOZOTE.....LOL......SHULE BWANA.....

UKIMALIZA KUSOMA NAOMBA UNITWANGE NA PICHA MOJA YA WEDDING LOUNGE NIFE NA KIJIBA CHA ROHO....ILA CHONDE CHONDE CHONDE USIJE KUSANYA VYA WATU KUPIGIA PICHA MAANA UNAJUA WATANIFIKISHIA HABARI....LOL...
Ingekuwa sina safari ya kwenda posta kutuma nguo za watu leo ningemaliza na Story za N wa Usalama.Usinione nakukaliaga kimya ukadhani sina maneno ya kukuchamba mpaka ukaumwa malaria plus plus bila kung’atwa na mmbu. Nakukaliaga kimya sababu nakudharau nakuona you are nothing………..So don’t ever think Nakuogopa , sikuogopi ila YOU ARE NOT WORTH A MENTION ON MY BLOG. Ungejua jinsi navyoona aibu na jinsi navyoteseka kuandika haya mahazeti kuhusu wewe ungenionea huruma tu ukaacha kuni provoke. Unanitesa Sinta, yani mimi nachekwa na watu naonekana kituko kila mtu ananishangaa jinsi navyopoteza muda kugombana na mtu kama wewe, nna wasiwasi this time hata kina kILLY watanikimbia alafu itabidi niende  lunch na wewe  sea cliff. Nionee huruma Sinta pls, endelea na shilole jamani, Mimi muke ya Muzungu sitakiwi hata kukutaja jina lako…pLSSSSSSSSSS…… wake za wazungu wanakaribia kunikimbia……PLEASE LEAVE ME ALONEEEEEEEEEEEEE, NAOMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAA. JAMANI NISAHAU WE MAMA.......


Uliniomba sana nikupe facts.....hiyo je? Angalia tarehe toka May ...ila kwa vile sina muda na wewe nikakaa kimya....Jamani nawaambiaga kila siku mimi sio mkorofi kama mnavyodhani nina heshima sana kwa wanawake wenzangu na huwa sina papara nakuacha ujichanganyanye mweneywe... Haya sasa mpaka wanaume wanaomlala wananitafuta kuniambia huyu ni mbwa koko nisi deal.... Aiseee kama mpaka ex zako wanakuona mpumbavu basi ni balaaaaaa....
Im sure Sintah umeshajua ni nani alinitumia hii sasa usije ukaenda mfanyia fujo ofisni jinsi ulivyo mswahili.. Jikaze ,,,umeyatafuta mwenyewe ukiponzwa na huyo BEDUI..........Unaona comment hazijai bila kunitafuta...I hope umefurahi sasa...... Mpaka mwanaume alikuwa anakushangaaa kwanini humtaki mtoto wako.... issue ya PROFESSOR NILIKUWA NAYO TOKA MAY nimekustiri we mbwa koko ila umenichokononoa mpaka nimekuadhiri......sikupenda kufanya hivi ila naomba ujifunze.... Nauwaache kina Wema  Sepetu kila siku unawaanika watoto wa wanawake wenzako wakati wewe ndo changu uliekubuhu.. Mwanamke gani anamkataa mtoto? mpaka boyfriend anakulilia umkubali mtoto ila hutaki sababu unaona mtoto atakuaibisha.....SHAME ON YOU,SHAME ON YOU,SHAME ON YOU. YOU WILL NEVER SUCCEED MUNGU HATOKUPA BARAKA ZOZOTE ZILE MPAKA SIKU UTAKAYOMKUBALI YULE MTOTO.... WANAUME NDO WANAOKATAA WATOTO MWANAMKE AKIKATAA MTOTO HANA DHAMANI KWENYE JAMII........SIKU ZILE NAKUITA MBWA KOKO WATU WALIKUTETEA KUMBE HAWAJUI KWANINI NAKUITA MBWA KOKO....SASA UMENITAFUTA MPAKA NIMEONYESHA KWANINI WEWE NI MBWAAAA.... WAKOME MASTAA WA BONGO, HAKUNA MALAYA MJI HUO KAMA WEWE, HAKUNA MCHAFU KAMA WEWE. ULINIADNIKA LAST WEEK SIJUI MIMBA IMEINGIA CHOONI, MIMBA YA HUYO KAKA ILIENDA WAPI??? YANI WEWE NI NYOKA...HUJIELEWI....
Alafu unasema nakuonea wivu, ningekuwa na wivu ningefanya kama wewe, ulivyotangaza duka ningeweka hii habari nifanye watu wasije kuku support kama wewe ulivyonifanyia. Nimeingia Dar kwenda kufanya biashara same day ukaweka ma email kwamba mimi nna bwana..Lets say ingekuwa hata kama ni kweli ila wewe kama mwanamke no matter how much u hate me ungebania mpaka nimalize biashara ndo uweke.... Mbona mimi umetangaza biashara sikuweka hii habari nikuharibie?..Alafu eti wivu... Nikuonee wivu kwa mkopo na duka chafu la sinza Una laana wewe mpaka wanaume wenye kazi zao za maana wananitafuta kuniambia uchafu wako....

TUHESHIMIANE NEXT TIME NTAKUHAMISHA NCHI MAANA KUNA SIKU DUNIA NZIMA WATAINGIA HUMU WATAKUTA PICHA ZA NYAPU YAKO UNAYOSHEVU KWA VIWEMBE VIPELE PELE KILA SEHEMU...GOSH HIVI NANI BADO ANA VIPELE VYAKUSHAVE DOWN THERE MWAKA HUU 2013, SHAMIM EMBU MWONYESHE MWENZAKO WAXING AKAIBE MUUZA SEMBE WA SHOGA NA YEYE MAANA NYAPU YA VIPELE NDO MAANA VILE VITOTO VYA MPIRA VINAMKANA..............SHUWEIN WEWE=...... NA UJARIBU KUMFATA KAKA WA WATU OFISINI UONE SI UNAKUMBUKA VIPONDO VYAKE??????

JAMANI SIJATUKANA MALAYA SIO TUSI NI NENO LIPO KWENYE KAMUSI LINALOTUMIKA KUMDESCRIBE MTU ALIE NA TABIA ZA KUNGONOKA BILA MPANGO...

USHAURI WA BURE - KUTOKANA NA MAELEZO YA HUYO KAKA YA MPAKA KUMTIA MIMBA HUYU MREKEBISHA TABIA WATOTO WA WENZAKE NI KWAMBA HATA CONDOM HATUMIAGI MPAKA ANAJAZWA MIMBA.
DADA TUMIA CONDOM ,UTAKUFA KWA NGOMA, USIENDEKEZE UTAMU WA KUTOTUMIA CONDOM...TUTAKUPOTEZA.......MMMH JUMA NATURE ALIONA MBALI KWA HILI LA NGOMA....

NATANGAZA RASMI KUACHANA NA HUU UJINGA....SIJAMTUKANA  MTU NIMEWAAMBIA FACTS. FACTS AMBAZO SIKUTAKA KUWAAMBIA ILA WAMENIPUSH MPAKA NIKAZISEMA.
NAOMBA TUENDELEE NA MAISHA WAPENZI.......NITAENDELEA KUKAAA KIMYA KAMA ZIKU ZOTEEE.... ATAKE NITAFUTA AWE TAYARI KUKUBALI KUWA NA MIMI NI BINADAMU KUNA SIKU NTACHOKA NITAJIBU...
MMELALA NACHO KIDALI PO............

No comments:

Post a Comment