Wakati
maelfu ha waumini wa dini la Kiislam duniani wakiwa ndani
ya mfungo mtukufu ,hali imekuwa tofauti kwa aliyekuwa mshiriki
wa shindano la kumtafuta Miss Utalii Taifa maarufu kwa jina la
Faithiya Madoud ambaye ameamua kupiga picha za uchi kwa makusudi
...
Kwa mujibu wa chanzo cha picha, mrembo huyu anadaiwa kujipiga akiwa uchi ili ajiongezee umaarufu ambao alianza kuuonja kupitia filamu zake za "Mrembo wa Facebook" na "nimpende nani"
-Picha kwa hisani ya Xdjaz

No comments:
Post a Comment