Rapper Wale ametoa Orodha kamili ya nyimbo kwenye album mpya na Cover
La Album Hio, Updates za Orodha hii ni pamoja na kuachia majina ya
wasanii waliohusika kwenye nyimbo hizo kama Nicki Minaj, Wiz Khalifa,
Cee-Lo Green Na Juicy J na wasanii wengine kutoka Maybach Music Group
Wapo kwenye album ya "The Gift" Inayotoka tarehe 25 June. Cd ya mwisho
ya Wale ilikuwa Ambition November 2011 na ilishirikisha Wasanii kama Kid
Cudi,Miguel Na Rick Ross.
No comments:
Post a Comment