Saturday, June 8, 2013

Bollywood Actress, "Jiah Khan" ajiua sababu ya mapenzi


Muigizaji maurufu ambae ni mmoja kati ya wanadada warembo nchini India anaejulikana kama "Jiah Khan" amekutwa amekufa juzi kwa kujiua baada ya kujua Boyfriend wake ana mwanamke mwingine....
Mama yake na Khan amesema kua alirudi na kukuta mwili wa mtoto wake akiwa ameshakufa huku Police wakiwa bado wanachunguza chanzo cha kifo cha mrembo huyo ila baadhi ya majirani walizungumza na Mtandao wa BBC na kusema kua wanachujua mwanadada Khan alikua na mkwaruzano na BF wake.....

No comments:

Post a Comment