Thursday, June 20, 2013
MBOWE NA LEMA WAJISALIMISHA
Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha Chadema Freeman Mbowe na mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema wamejisalimisha wenyewe leo asubuhi katika kituo Kikuu cha Polisi Mkoani Arusha kwa ajili ya kuhojiwa.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment