Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimjulia hali, mtoto aliyetambuliwa kwa jina moja la Fahad (7)
aliyelazwa katika chumba cha watu mahututi Hospitali ya Rufaa Selian,
baada ya kujeruhiwa na mlipuko wa bomu katika mkutano wa Chadema,
mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Arusha. Makamu wa Rais, jana Juni 17,
alifanya ziara ya kuwatembelea kuwajulia hali majeruhi wa mlipuko huo
waliolazwa katika hospitali za Mount Meru, Selian na Mtakatifu
Elizabeth.…

Elizabeth.
Juu
na chini ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali Mbunge wa Arumeru Mashariki,
Joshua Nasari, aliyelazwa kwenye Hospitali ya Rufaa ya Selian, mkoani
Arusha baada ya kudaiwa kushambuliwa mwishoni mwa wiki iliyopita
wakati akiwa katika uchaguzi mdogo wa Udiwani wa Kata ya Makuyuni,
Monduli. Awali Nasari alikaririwa akieleza kuwa anamaumivu ya mgongo
baada ya kushambuliwa na vitu vigumu na vijana wa Kimasai. Kwa mujibu wa
maelezo ya Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo, Dkt. Paul Kweka,
anayemtibu Mbunge huyo, alimueleza Makamu wa Rais kuwa mbunge huyo,
baada ya kupimwa na kupigwa picha za X-Ray, ameonekana kuwa hana tatizo
lolote la kiafya.

akimjulia hali, Gabriel Kivuyo (52) aliyelazwa Hospitali ya Rufaa
Selian, baada ya kujeruhiwa na mlipuko wa bomu katika mkutano wa
Chadema, mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Arusha. Makamu wa Rais, jana
Juni 17, alifanya ziara ya kuwatembelea kuwajulia hali majeruhi wa
mlipuko huo waliolazwa katika hospitali za Mount Meru, Selian na
Mtakatifu Elizabeth.

akionyeshwa picha ya X-Ray, ya mmoja kati ya majeruhi waliolazwa kwenye
Hospitali ya Mount Meru, Joseph Anthony, mkazi wa Kaloleni, baada ya
kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu lililotokea wiki iliyopita katika
mkutano wa Chadema eneo la Soweto jijini Arusha. Imeelezwa kuwa hadi
jana Juni 17, 2013, wakati makamu alipowatembelea majeruhi hao watu
watatu waliliripotiwa kufariki dunia.

akizungumza na wananchi wa jijini Arusha waliokusanyika nje ya
Hospitali ya Mount Meru jana, wakati Makamu alipokuwa na ziara ya
kuwatembelea kuwajulia hali majeruhi wa mlipuko wa Bomu uliotokea wiki
iliyopita katika mkutano wa Chadema jijini Arusha, ambapo jumla ya watu
70 walijeruhiwa na watatu walifariki dunia. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Arusha, Magesa Mwilongo.

akisikiliza maelezo kutoka kwa Dkt. Geofrey, kuhusu jinsi mtoto,
Aboubakar Adam, mkazi wa Sakina jijini Arusha, aliyelazwa katika
Hospitali ya Arumeru baada ya kujeruhiwa na bomu wakati akiwa miongoni
mwa watu waliokuwa katika Uwanja wa Soweto kwenye Mkutano wa Chadema
wiki iliyopita. Makamu wa Rais, alifanya ziara ya kuwatembelea kuwajulia
hali majeruhi wa mlipuko huo, waliolazwa katika Hospitali za Arumeru,
Selian na Mtakatifu Elizabeth, jana Juni 17, 2013.

akimjulia hali, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Majengo A, Sarah John
(45) aliyelazwa Hospitali ya Mtakatifu Elizabeth, baada ya kujeruhiwa
na mlipuko wa bomu katika mkutano wa Chadema, mwishoni mwa wiki
iliyopita jijini Arusha. Makamu wa Rais, jana Juni 17, alifanya ziara ya
kuwatembelea kuwajulia hali majeruhi wa mlipuko huo waliolazwa katika
hospitali za Mount Meru, Selian na Mtakatifu Elizabeth.
(PICHA NA OMR)

No comments:
Post a Comment