Baada
ya show ya Mwana FA "The Finest" Kuahirishwa wiki iliyopita kutokana na
msina wa Rapper Abert Mangwea, aliyefariki jumanne ya tarehe 28 May na
kuzikwa siku ya jana Morogoro,
Kama
Zamani The Finest,Imetangazwa tena, na safari hii asilimia 15 ya mapato
kutoka katika show hiyo, yatapelekwa kwa mama mzazi wa Ngwea.
"nimesema kwamba nitoe hela mfukoni kwangu moja kwa moja, niipeleke huku, kwahiyo chochote nitakacho kipata, nataka kutoa 15 percent nimpelekee bi mkubwa...."amesema Fa
"unajua kitu kama cha kumuita ngwea marehem, bado kilikuwa hakija click kichwani kwangu, hakiji, yaani watu wakimuitwa mangwea marehem naona aaaah, hawa jamaa wanasema vitu gani, bado inanisumbua "
" Nafkiri Pengine sikufanya vyakutosha wakati yuko hai, lakini bado naweza kufanya kitu kama anaona huko aliko naomba awe na moyo mwepesi na mimi, nimeona ntamuandali hiki ambacho nakipata sasa hivi, nimuangalie mama yake, kama ambavyo pengine yeye angefanya kama ingekua album yakwake.amesema mwana FA.

No comments:
Post a Comment