Kwa mujibu wa vyombo vya habari za burudani vya Kenya, mara baada ya Diamond kufanya shoo mbili katika Miji ya Nairobi na Mombasa nchini humo, alipogeuza kisogo kurejea Bongo ndipo ukaibuka mlipuko wa habari zilizomhusu na mrembo huyo.
Habari hizo zilieleza kuwa mara tu baada ya kutua nchini humo, Diamond alipokelewa kwa bashasha na mrembo huyo akiwa na wenzake wanne.
Ilisemekana kuwa alipokuwa akifanya shoo kwenye Ukumbi wa KICC, Nairobi siku ya kwanza, Diamond aliimba wimbo wake wa Ukimuona maalum (dedication) kwa ajili ya Angel, jambo lililomfanya mrembo huyo kuonekana ‘spesho’ miongoni mwa maelfu waliohudhuria onesho hilo.
Imeripotiwa kuwa baada ya shoo hiyo kumalizika USIKU, Angel alionekana ‘beneti’ na Diamond wakielekea katika hoteli aliyofikia staa huyo Nairobi.
Katika jitihada za kulikoleza penzi lao, Angel anadaiwa kujipiga akiwa uchi wa mnyama kwa lengo la kumtumia Diamond......
Bahati nzuri au mbaya, picha hizo zimevuja na mtandao huu umefanikiwa kuzinasa....
No comments:
Post a Comment