Picha za wasanii wa kundi la Ze Komedi zilizoonekana hivi karibuni
wakiwa ufukweni na mabinti wasiojulikana, maeneo ya Kigamboni zimezusha
gumzo huku familia za wasichana hao zilikija juu sababu ya “utata” wa
picha hizo.
Picha hizi ni baadhi tu. Kwa nyingine za “utata” zaidi, nenda kwenye link ifuatayo:
Picha za wasanii wa kundi la Ze Komedi zazua balaa kubwa!
No comments:
Post a Comment