Baada ya mh.waziri mkuu mizengo pinda kutoa ruhurusa kwa polisi kupiga
wananchi..Mh mbunge zitto kabwe nae atoa lake juu ya mh.waziri
mkuu...Kupiitia tweet yake Zitto alisema "Viongozi wa kisiasa lazima
wajue kuwka akiba ya maneno yao .kuropoka hovyo hovyo wakati kama huu
wenye taharuki ni hatarii sana"..Aliongezea "Ni lazima viongozi
wawajibishwe kwa maneno wanayotamka.Mh. Pinda anahamasisha ukiukwaji wa
katiba na sheria Asipowajibishwa.!"
HIZI NDIZO TWEET ZA MH.ZITTO KABWE
No comments:
Post a Comment