Bondia
Juma Fundi (kushoto) akitunishiana misuli na Nasibu Ramadhan wakati wa
utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika sikukuu ya Iddi Pili wengine
kushoto ni mratibu Duni Lianjara, Promota wa Mpambano huo Side Mkigoma
na kocha wa Nasibu, Christpher Mzazi.
Nasibu Ramadhan akisaini mkataba.…

Nasibu Ramadhan akisaini mkataba.
Promota wa mpambano wa masumbwi Side Mkigoma (katikati) akiwainua mikono juu mbondia Juma Fundi (kushoto) na Nasibu Ramadhan.

No comments:
Post a Comment