Lwakatare Aitisha Press Conference Makao Makuu Chadema.
Leo majira saa 4 asubuhi bwana Lwakatare ambae ni mkurugenzi wa ulinzi
na usalama CHADEMA atakuwa na mazungumzo na waandishi wa habari, ajenda
ikiwa kuhusiana na sakata zima la kesi yake...Tunasubiri kwa hamu kusikia atakacho sema.
No comments:
Post a Comment