Saturday, June 8, 2013

Kumbe Kweli: Mengi Akiwakabidhi Zawadi Washindi wa Tweets Zilizomkuna

 Kushoto ni  Ofisa Mtendaji Mkuu wa Institute Of Management and Enterprenuership, Dkt. Donath Olomi.
Kulia ni mshindi wa pili, Peter George aliyejinyakulia shilingi laki tano na mwanafunzi wa chuo cha CBE, Ludovick Angelino, ambaye ni mshindi wa tatu aliyejinyakulia shilingi laki tatu

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi akimkabidhi kitita cha shilingi milioni moja mshindi wa kwanza wa shindano la,  "Tweet Wazo Jipya Kuondoa Umaskini", Jilly Gaudence Kyomo katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment