Saturday, May 4, 2013

WYCLEF AZUNGUKA MITAA YA NYC NA GITAA LENYE UMBO LA SILAHA AINA YA AK-47

           Wyclef Jean anasema yeye anataka kubadili silaha kuwa muziki ... hivyo ametengeneza gitaa lenye umbo kama AK-47 ASSAULT RIFLE ... na kuzunguka nayo katika mitaa ya NYC.
idea inaonekana kuwa nzuri, lakini kuzurura na kuinyesha kwa watu kitu kinachofanana na Silaha katikati ya mitaa ???
hoja inaonekana kuwa ya sio kabisa... hasa kwa kuzingatia utekelezaji wa sheria katika miji iko juu sana kwa tagadhari tangu maafisa kugundua wale ndugu wa kigaidi walikuwa wakiwalenga New York
angalia video inayomuonyesha Cliff sio tu akielezea idea yake juu ya silaha za kimuziki, ila pia akimuachoa aliekuwa akimuhoji kupuga silaha hiyo ya…
          Wyclef Jean anasema yeye anataka kubadili silaha kuwa muziki ... hivyo ametengeneza gitaa lenye umbo kama AK-47 ASSAULT RIFLE ... na kuzunguka nayo katika mitaa ya NYC.
idea inaonekana kuwa nzuri, lakini kuzurura na kuinyesha kwa watu kitu kinachofanana na Silaha katikati ya mitaa ???
hoja inaonekana kuwa ya sio kabisa... hasa kwa kuzingatia utekelezaji wa sheria katika miji iko juu sana kwa tagadhari tangu maafisa kugundua wale ndugu wa kigaidi walikuwa wakiwalenga New York
angalia video inayomuonyesha Cliff sio tu akielezea idea yake juu ya silaha za kimuziki, ila pia akimuachoa aliekuwa akimuhoji kupuga silaha hiyo ya kimuziki...

No comments:

Post a Comment