AJALI MBAYA YA MAGARI MATATU CHANG'OMBE JIJINI DAR
Ajali mbaya iliyohusisha magari matatu
imetokea katika barabara ya Chang’ombe jijini Dar es salaam na
kusababisha msongamano mkubwa wa magari; na watu kuchota mafuta
yanayomwagika kutoka kwenye Lori hilo.
No comments:
Post a Comment