Msanii kutoka Uganda, Iryn Namubiru, alipokua katika tour yake USA. Alipiga magoti wakati akitumbuiza mashabiki, kitu kilichopelekea baadhi ya washabiki kumtomasa mapaja na kinachoonekana kama kushika sehemu zake za siri. Baadhi ya watu wameripoti kuwa msanii huyo hakuonekana kukerwa na kitendo hicho . Ripoti hizo za kwamba hakukerwa na aliwaachia mashabiki waendelee kumtomasa na raha zao, hazijathibitishwa hivyo haijulikani kama zina ukweli wowote au uzushi tu
Advertisement
No comments:
Post a Comment