Afande'Edward'aliyekamatwa na magunia18 ya bangi Himo ametoroka mikononi mwa polisi!
Alikua akipelekwa nyumbani kwake kwa upekuzi zaidi,Inspector Isaac
aliyekua kiongozi wa askari wakimsindikiza ashikiliwa kwa uchunguzi
zaidi,mwenzie pc George afikishwa mahakamani leo.
No comments:
Post a Comment