Suala la mtangazaji wa EATV Sam Misago kumtoa nje ya studio Juma Nature
kutokana na kuvaa ndala, limemsaidia kiongozi huyo wa Wanaume Halisi
kuanzisha biashara mpya, ya ndala
Akiongea na XXL ya Clouds FM, Nature amesema tayari ameshasaini mkataba
na kampuni moja kuanza kuuza ndali hizo ziitwazo Halisi na wiki ijayo
zinaweza kuingia mtaani.
No comments:
Post a Comment