Mwanake mmoja nchini Zimbabwe amekumbwa na balaa la mwaka baada ya kupoteza VIUNGO VYAKE VYA SIRI ( Uke)....
Mwanamke huyo alikumbwa na balaa hilo usiku wa kuamkia tarehe 29 mwezi wa nne mwaka huu...
Kwa
mujibu wa mtandao wa Standardmedia, mwanamke huyo alimka usiku na
kuelekea chooni kukojoa.Akiwa chooni, alishangaa kuona mkojo
hautoki.Alipojichungulia,Ikulu ilikuwa IMEZIBWA..!!!
Taarifa zinadai kwamba, mwanamke huyo alizimia pale pale.
Kwa
mujibu pia wa mtandao wa Zimbabwean ambao nao umeripoti kuhusu tukio
hilo, mwanamke huyo anadaiwa kuwa na tabia chafu ya kutembea na waume za
watu, hali ambayo ilikuwa ikiwakera wanawake wenzie...
Mtandao huo
umedai kwamba , katika siku za hivi karibuni, mwanamke ajulikanaye kwa
jina la Mai alimpa ONYO kali mgoni huyo baada ya kugundua kuwa anatoka
kimapenzi na mume wake na kumtaka aache mara moja...
Baada ya siku chache kupita tangu onyo hilo litolewe, mwanamke huyo alijikuta amenyofolewa nyeti zake....
No comments:
Post a Comment