Mawakili wa Chadema kwa siku za hivi karibuni wanaonekana kuwa mwiba zaidi ukiringanisha na mawakili wa serikali,nataka kujua kwa nini imekuwa hivo?kwani sifa ya kusoma degree ya sheria si zinalingana vyuo vyote?sasa iweje hawa wa serikali wanaonekana kama kidogo hawako vizuri katika kutetea na kujenga hoja mahakamani ukiwalinganisha na wale wa Chadema.Naomba wadau tujadili
No comments:
Post a Comment