Ashley Toto mwanadada mzaliwa wa Kenya ambaye anaishi Germany kwa sasa
anatarajiwa kuigiza na tayari ametoa filamu ndogo iliyopo hewani kwa
sasa kwa jina la "MOYO WANGU" katika filamu za Kiswahili
zinazotengenezwa nchini Denmark ili kuunganisha nguvu za kutangaza
filamu na tamaduni za kiafrika nje ya bara la Afrika.Hivi karibu ni
Ashley alikua Denmark akitokea Germany kwa ajili ya issue hizo za
filamu...... kampuni ya VAD film production iliopo nchini Denmark pia
imesema kuwa ni kweli Actress huyo anayechipukia kwa kasi kwa sasa na
mwenye mvuto wa kipekee anatarajiwa kuwa kwenye movies watakazotoa.
Ashley mwenyewe alipohojiwa alisema alipenda kuwa Actress tangu utotoni
na ameamua kujitambulisha katika game hii ya Movie....Na leo hii pia
anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.....Happy Birthday Ashley Toto
No comments:
Post a Comment