Baada ya Kuwa na Tetesi kuwa Fezza Kessy Atakuwa ni mmoja wa wakilishi
wa Tanzania Big Brother Africa ...leo hii Amekuwa ni Mmoja kati ya
Watanzania Wawili Wanao Iwakilisha Tanzania katika Jengo Hilo....So Tuna
Wawakilishi Wawili Nando na Fezza Kessy...
No comments:
Post a Comment