Bado joto ya show ya mika 13 ya Lady JayDee inazidi kupanda
kutokana na mengi yanayohofiwa kutokea siku hiyo. Kwanza kulikuwa na
tetesi kuwa huenda Clouds Fm wakafanya show nyingine siku hiyo, kitu
ambacho Ruge Mutahaba alikifafanua vizuri kwa kusema mtu ukiwa na
shughuli haimaanishi kuwa wengine wasifanye shughuli nyingine kama hiyo.
Lakini sasa kuna jingine ambalo limejitokeza, na amelisema mwenyewe
Lady JayDee, hii haijathibishwa, huenda ni maneno tu ya kizushi or??..
Na hivi ndivyo alivyoandika kupitia ukurasa wake wa twitter muda mchache
uliopita
No comments:
Post a Comment