Thursday, May 9, 2013

Shabiki Alazimisha Denda kwa Diamond Akiwa Jukwaani huku UK


 EEHH!!! jamani kina dada mbona mnajidhalilisha kiasi hicho!! ni pombe ulilewa au kitu gani!?? au ndio mambo ya NATAKA KULEWA hayo ukaamua ummwagie radhi mtoto wa mwenzio kilazima, au huna habari KAMA MCHUMBA WA MTU HUYO DADA!!?? mmmh!! WATOTO WA UK MMETISHA!!!
ALAFU nimesikia kuna mdada kaenda kulala na dancer wa DIAMOND akizani ni DIAMOND MWENYEWE biatchhh! yereeeuwiiiiiiii!!!!!!
tunaendelea kuifatilia kwa ukaribu tutawaletea picha kamili sooooon!!! endelea kurefresh blog yenu mupate mahabari kamili!!!
LMFAO!!

No comments:

Post a Comment