Producer mwenye historia kubwa na ya kipekee katika muziki wa Bongo
Fleva P-Funk Majani ameonesha kumuunga mkono Lady JayDee na kwamba
anadhani ni muda sasa wengine wakafuata nyayo zake, yeye mwenyewe majani
amemhakikishia Jide kuwa yuko nae “Count Me in”.
Ameongeza kuwa endapo wasanii na watayarishaji wa muziki wakiungana hakuna kitakachowazua isipokuwa Mungu.
Hizi ni Tweet za P-Funk Majani za May 4:
No comments:
Post a Comment