Wiz Khalifa anatarajia kuwagusa tena wale Mashabiki wote wana Kubali muziki wake pamoja pia na mambo ya mitindo/fashion, kwa kutoa clothing line mpya ambayo inafahamika kwa jina FRESHKO.
Mpango huu umesukwa na rapa Wiz Khalifa Mwenyewe pamoja na moja ya mchizi kutoka Taylor Gang Berner, na vilevile mbunifu mavazi mahiri Sketch, na mtindo huu wa mavazi utakuwa unahusisha graffiti, muziki, fashion pamoja na muonekano wa kisanii zaidi.
Mavazi ya lebo hii mpya yatatoka kesho tayari kwa wana all over the world, kwahiyo mpango ni kujiweka tayari kupress order kujipatia kiwalo chako.…
Wiz Khalifa anatarajia kuwagusa tena wale Mashabiki wote wana Kubali muziki wake pamoja pia na mambo ya mitindo/fashion, kwa kutoa clothing line mpya ambayo inafahamika kwa jina FRESHKO.
Mpango huu umesukwa na rapa Wiz Khalifa Mwenyewe pamoja na moja ya mchizi kutoka Taylor Gang Berner, na vilevile mbunifu mavazi mahiri Sketch, na mtindo huu wa mavazi utakuwa unahusisha graffiti, muziki, fashion pamoja na muonekano wa kisanii zaidi.
Mavazi ya lebo hii mpya yatatoka kesho tayari kwa wana all over the world, kwahiyo mpango ni kujiweka tayari kupress order kujipatia kiwalo chako.
No comments:
Post a Comment