Show ya miaka 13 katika muziki ya Lady Jaydee inazidi kupata pigo baada
ya TID kuwa msanii mwingine latest kujitoa kwenye show hiyo.
Moja ya sababu anayosema TID ni kuwa ana mkataba mwingine wa show
unaolipa zaidi.. Sababu ya pili ni kuwa hataki kuwa katikati ya ugomvi
wowote.
Hivi ndivyo alivyoandika TID kwenye ukurasa wake wa Facebook.
“Three reason why i can’t do lady JIDE SHOW ………….No.1 I have better
contract pays me better than.No.2 I really don’t want to be between
anybody’s conflict ya kwangu yananishinda naona nieupushe shari…No.3
nataka kuoa muda wangu ndo huu ……………kama nimekukosea captein na madame
kazeni but I have been thru same shit.”
Tayari Linah, Barnaba na Mato
No comments:
Post a Comment