Tuesday, May 7, 2013

KUHUSU NGOMA MPYA YA AVRIL NA OMMY DIMPOZ

Kwa wale woote ambao wamekuwa wakisubiri kwa hamu ile ngoma ya bi dada Avril kutoka Kenya na Bongo's finest Ommy Dimpoz ambayo ilikuwa izinduliwe mwishoni mwa mwezi uliopita kama ilivyokuwa imetangazwa, story ni kwamba mipango haikuenda kama ilivyowekwa hasa kutokana na kupishana sana kwa ratiba za wasanii hawa wawili, ikizingatiwa pia kuwa kwa sasa Dimpoz yupo nnje ya nchi kikazi.
Avril ambaye kwa sasa yupo hapa Bongo amesema kuwa, ngoma hii bado haijakamilika kabisa, na kuna mambo kadhaa ya kugusa kwa upande wa mastering ili iwe katika kiwango chake, na pia kwa mujibu wake, Jina la ngoma hii huenda likawa ni 'Hellow Baby'.
Ngoma hii inabeba story ya wapenzi wawili ambao umbali umekuwa ni changamoto kubwa katika mapenzi yao.
On the other hand, kwa wale watu kibao ambao walikuwa na hamu ya kusikia Mwanadada…

Kwa wale woote ambao wamekuwa wakisubiri kwa hamu ile ngoma ya bi dada Avril kutoka Kenya na Bongo's finest Ommy Dimpoz ambayo ilikuwa izinduliwe mwishoni mwa mwezi uliopita kama ilivyokuwa imetangazwa, story ni kwamba mipango haikuenda kama ilivyowekwa hasa kutokana na kupishana sana kwa ratiba za wasanii hawa wawili, ikizingatiwa pia kuwa kwa sasa Dimpoz yupo nnje ya nchi kikazi.
Avril ambaye kwa sasa yupo hapa Bongo amesema kuwa, ngoma hii bado haijakamilika kabisa, na kuna mambo kadhaa ya kugusa kwa upande wa mastering ili iwe katika kiwango chake, na pia kwa mujibu wake, Jina la ngoma hii huenda likawa ni 'Hellow Baby'.
Ngoma hii inabeba story ya wapenzi wawili ambao umbali umekuwa ni changamoto kubwa katika mapenzi yao.
On the other hand, kwa wale watu kibao ambao walikuwa na hamu ya kusikia Mwanadada huyu anazungumziaje mahusiano yake na Diamond, Hii ni nukuu fupi kutoka katika maelezo yake, 'Diamond and I are just proffessional friends'.

No comments:

Post a Comment