Jana kupitia mtandao wa instagram, msanii Suma Lee ambae siku ya juma
nne wiki iliyopita alitambulisha ngoma yake mpya "Wanasema" ilitengenewa
na producer Lamar, alipost picha inayoonyesha mazungumzo yake na mtu
mwingine {sifahamu ni nani} ambapo alikua akiambiwa na kutumiwa beat ya
wimbo unaofanana na wimbo wake huo mpya.
nadhani baada ya kusikiliza
beat hiyo ndipo alipoamua kuweka wazi mazungumzo hayo pamoja na kicha
cha habari alichokiandika hivi
"khaaaaa!!!!! hehehe.LAMAR nini hii!!!!! maana unamtia aibu SUMA LEE. Achekwe na ISMAIL MSWAHILI aaaaagh!!!! maza!! faza!!!
No comments:
Post a Comment