duka lililoungua moto lipo uswahilini barabara ya maua gest,inasemekana machinga wengi wa mtaa huo walikuwa wakiweka mizigo yao katika duka hilo wakifunga shughuli zao muda wa jioni
chanzo cha moto hakijafahamika, ila kwa habari zisizo rasmi inasemekana na tatizo la umeme
baadhi ya vitu vilivyookolewa kutaka katika duka la baba sima
ilimradi kilikusanywa kila kilichoonekana hakijaungua
baba sima mwenye duka (kushoto) akifarijiwa
wayuka baba sima ebintu mbiigwa orwo omoyo gwaunga( ONGERA BABA SIMA VITU UTATAFUTA BORA UZIMA ni maneno ya mama akimfariji
No comments:
Post a Comment