Fahamu hiki alichokisema professa Jay kuhusu miaka 13 ya Lady Jay Dee
Baada ya Lady Jay Dee kutangaza siku ya
kuachia album yake mpya sasa #Fahamu hiki alichokisema professa Jay
kuhusu miaka 13 ya Lady Jay Dee
"Nitakuwa na @JideJaydee kwenye
show yake ya miaka 13 ya LADY JD, Kwa NGUVU zangu zote, AKILI zangu
zote na UWEZO wangu wote, KARIBUNI SANA"
No comments:
Post a Comment