Katika pitapita zangu nimefanikiwa kumnasa live Salama Jabir akinyonyana ndimi bila chenga na mwenzake…!!
Nashindwa kuthibitisha huyo wa pili ni nani na ni jinsia
gani….nikimwangalia haraka haraka naona kama ni mwanaume na
namfananisha na mdogo wake Wema Sepetu aitwaye Bill Sepetu…..
Nikijaribu kukaza macho kwa kwa makini, huyo wa pili namuona
kama ni mwanamke kutokana na vazi lake.Hicho cha mabegani
nakifananisha na sidiria za akina dada….!!
No comments:
Post a Comment