Thursday, July 11, 2013

MAMA AJIFUNGUA MTOTO ANAYEFANANA NA NYANI.....

 
 Mwanamke  mmoja  amejikuta  akimwaga  machozi  baada  ya  kumpoteza  mwanaye  dakika  chache  baada  ya  kujifungua....

Tukio  hilo  lilitokea  siku  ya  jumatatu  katika  hospitali  ya Kargo nchini Nigeria...

 Taarifa  zinadai  kuwa  mwanamke  huyo  ambaye  ni  mkazi  wa  kijiji  cha  SabonIcel  alijifungua  mtoto wa  ajabu  anayefanana  na  Nyani, hali  iliyomfanya  afariki  dakika  chache  baada  ya  kuzaliwa
 Daktari aliyehusika  na  kumsaidia  mwanamke  huyo  anadai  kwamba, mwanamama  huyo  alifikishwa  hospitalini  hapo  majira  ya  saa  moja  na  nusu  asubuhi  na  kwamba  tahadhari  zote  za  kitabibu  zilizingatiwa  kama  kawaida.

Kilichowashangaza  ni  sura  ya  mtoto  aliyezaliwa,nusu  alikuwa  binadamu  na  nusu  nyingine  alikuwa  ni  nyani.


Daktari  huyo  anadai  kwamba  mtoto  huyo  alikuwa  na  uzito  wa  kilo 4  na  kwamba  alifariki  dunia  dakika  chache  baada  ya  kuzaliwa

No comments:

Post a Comment