BABU ANAYETAKA KUMFUFUA MWALIMU NYERERE AGEUKA GUMZO
Mzee (pichani) aliyeibuka hivi karibuni akidai kuwa ana uwezo wa
kumfufua Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere amezua gumzo.
Babu huyo
aliibuka katika studio za Kyera FM huko mkoani Mbeya akihitaji msaada wa
kumfikisha Butihama alipozikwa Mwalimu Nyerere mwaka 1999 ili amfufue.
Mzee huyo alikuwa na ufunguo mkononi ambao anadai ndiyo utakaotumika
kumfufua Nyerere. Anaeleza kuwa akishamfufua Mwalimu Nyerere ndiye
atakayesimamia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.
No comments:
Post a Comment