BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MIKOPO YA WAFANYAKAZI WAAJIRIWA
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu (wa tatu kushoto), akizungumza
wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Mikopo ya Wafanyakazi Waajiriwa ya
benki hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa
Mikopo, Andrew Lyimo, Mkuu wa Huduma za Rejareja, Raymond Mutagahywa,
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Mwinda Kiula Mfugale na
Kaimu Mkuu wa Hazina, Ivan Tarimo.
Mkuu wa Mikopo wa Benki ya NBC Tanzania, Andrew…
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu (wa tatu kushoto), akizungumza
wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Mikopo ya Wafanyakazi Waajiriwa ya
benki hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa
Mikopo, Andrew Lyimo, Mkuu wa Huduma za Rejareja, Raymond Mutagahywa,
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Mwinda Kiula Mfugale na
Kaimu Mkuu wa Hazina, Ivan Tarimo.
Mkuu
wa Mikopo wa Benki ya NBC Tanzania, Andrew Lyimo (kushoto) akizungumza
wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Mikopo ya Wafanyakazi Waajiriwa jijini
Dar es Salaam leo. Wengine kulia kwake ni Mkuu wa Huduma za Rejareja,
Raymond Mutagahywa, Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Bi. Mizinga Melu na Mkuu
wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Mwinda Kiula Mfugale.
Mkuu
wa Huduma za Rejareja wa Benki ya NBC Tanzania, Raymond Mutagahywa
(kushoto), akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Mikopo ya
Wafanyakazi Waajiriwa jijini Dar es Salaam leo. Wengine kulia kwake ni
Mkurugenzi Mtendaji wa NBC Tanzania, Bi. Mizinga Melu, Mkuu wa Masoko
na Mawasiliano wa benki hiyo, Bi. Mwinda Kiula Mfugale na Kaimu Mkuu wa
Hazina wa NBC, Ivan Tarimo.
Mkuu
wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Bi. Mwinda Kiula Mfugale (wa
pili kulia) akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya waandishi waliohudhuria hafla
ya uzinduzi wa Kampeni ya Mikopo kwa Wafanyakazi Waajiriwa ya benki
hiyo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment