Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya kufunga Kongamano la
Kitaifa Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika hoteli ya White
Sands jijini Dar es Salam Jana jioni.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akitoa hotuba yake ya kufunga Kongamano la Kitaifa Kujadili
Amani ya Taifa lililofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es
Salaam jana jioni.
Mwenyekiti wa Taasisi ya
Tanzania Centre for Democracy (TCD) ambaye pia ni kiongozi wa chama cha
NCCR Mageuzi Mhe. James Mbatia akimkabidhi Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete maazimio ya Kongamano la…

Kikwete maazimio ya Kongamano la Kitaifa kujadili Amani ya Taifa
lililofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam na
kufungwa Jana jioni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa na viongozi wa vyama vya siasa vilivyoshiriki katika
Kongamano la kitaifa Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika
Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.Kushoto ni kiongozi wa Chama
cha NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia (MB), Mwenyekiti wa TLP Mhe.Augustine
Lyatonga Mrema(watatu kushoto) na kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha UDP
Mhe.John Momose Cheyo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete(aliyekaa katikati) Akiwa katika picha ya Pamoja na baadhi ya
viongozi wa vyama vya siasa na washiriki wa Kongamano la Kitaifa
Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika Hoteli ya White Sands
jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA FREDDY MARO)
No comments:
Post a Comment