Kikosi
kazi cha Skylight Band kikitoa burudani katika Uwanja wao wa nyumbani
Thai Village Ijumaa iliyopita, na Ijumaa hii kama kawaida watalisongesha
pale pale....Karibuni wote.
Wadau wakubwa wa Skylight Band wakisakata Rhumba la Skylight Band polepole bila bugudha…
Kikosi
kazi cha Skylight Band kikitoa burudani katika Uwanja wao wa nyumbani
Thai Village Ijumaa iliyopita, na Ijumaa hii kama kawaida watalisongesha
pale pale....Karibuni wote.
Wadau
wakubwa wa Skylight Band wakisakata Rhumba la Skylight Band polepole
bila bugudha kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Aneth Kushaba AK 47 akiimba kwa hisia.
Nyomi ya Mashabiki wa Skylight Band kwa raha zao wakiburudika.
Wadada walipendezaje cheki unyayo huo.
Kwa raha zao.
Bata likiendelea....Palikuwa hapatoshi...!
Mduara ulihusika pia.
Sony Masamba, Sam Mapenzi na Mary Lucos wakiendelea kutoa burudani kwa mashabiki wao wa Skylight Band.
Fans wa Skylight Band wakipata Ukodak.
Dagma nae na washikaji zake aliwakilisha.
Abubakar Abdul na mshikaji wake nao walikuwepo.
Wadau wa ukweli...All the way from Manchester UK walitua Bongo kushuhudia Skylight Band Live. Karibuni sana.
Ilikuwa ni balaa Bata mwanzo mwisho....usikose shabiki wake Ukweli wa Skylight Band Ijumaa hii.
Babu wa Kitaa akishow love na washikaji zake wakati wa burudani ya Skylight Band-Thai Village Masaki jijini Dar.
Wadau wa Skylight Band wakishow love.
No comments:
Post a Comment