MKUU WA MKOA WA KAGERA AFANYA MKUTANO NA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI KUELEZA ZIARA YA KAZI YA RAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE LEO.
Mkuu wa mkoa wea kagera Kanal Fabian Massawe akiongea na vyombo
mbalimbali vya habari, Rais Jakaya Kikwete atawasiri bukoba 24-07-2013
majira ya saa saba mchana katika uwanja wa ndege wa bukoba na atakuwa na
shughuli mbalimbali, ikiwemo ya maadhimisho ya sherehe za mashujaa
kitaifa zitakazofanyika katika kambi ya jeshi ya kaboya 25-07-2013
Raisi kikwete 24-07-2013 mara baada ya kuwasiri ataweka jiwe la msingi
katika uwanja wa ndege bukoba unaojengwa kwa kiwango cha lami, na badae
atakuwa na mkutano hadhara katika uwanja wa kaitaba,
waandishi wa habari na vyombo mbalimbali vya habari wakimsikiliza mkuu wa mkoa
mkurugenzi wa redio vision varelian akiwa na meneja wake martilda
ashura na enjoey waandishi wa magazeti
kibuka na theopista waandishi wa magazeti
mzee murisa mhariri mkuu redio kasabante
redio fadeco
ponsian kaizas star tv
afisa elimu wa mkoa kagera
afisa habari wa mkoa
mkuu wa mkoa amewataka wananchi kuwa wakarimu kwa wageni,kuwa watulivu
kudumisha amani, kuwa wasafi katika maeneo yote wanayoishi,na kujitokeza
kwa wingi kumsikiliza rais kikwete kwenye mkutano wa hadhara kaitaba
ndugu Silivester afisa habari mkoa wa kagera
No comments:
Post a Comment