Thursday, July 11, 2013

MSTAHIKI MEYA WA MWANZA NA ILALA WAFUTURU PAMOJA JIJINI MWANZA

20130710_192100_resized  
Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Mh. Stanslaus Mabula pamoja na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Mh. Jerry Silaa wakipata futari jioni ya jana pamoja na wajumbe wa kamati ya kudumu ya uchumi na huduma za jamii wa Manispaa ya Ilala ndani ya Jiji la Mwanza.
20130710_192048_resized
Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Mh. Stanslaus Mabula (wa tatu kulia) pamoja na Mstahiki Meya wa Halmashauri…
20130710_192100_resized  
Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Mh. Stanslaus Mabula pamoja na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Mh. Jerry Silaa wakipata futari jioni ya jana pamoja na wajumbe wa kamati ya kudumu ya uchumi na huduma za jamii wa Manispaa ya Ilala ndani ya Jiji la Mwanza.
20130710_192048_resized
Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Mh. Stanslaus Mabula (wa tatu kulia) pamoja na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa (wa pili kushoto) wakibadiisha mawazo na wajumbe wa kamati ya kudumu ya uchumi na huduma za jamii wa Manispaa ya Ilala ndani ya Jiji la Mwanza wakati wa futari ya pamoja chungu cha kwanza katika mwezi huu mtukufu wa Ramadan.
20130710_192017_resized
Wakinamama nao wakijinafasi upande wao.

No comments:

Post a Comment