Friday, July 12, 2013

MGANGA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM DKT JUDITH KAHAMA MARO AZIKWA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR‏


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya Msiba wa marehemu Dkt, Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es salaam, leo Julai 11, 2013.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano w a Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji baadhi mume  wa marehemu, Profesa Maro,  wakati alipofika…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya Msiba wa marehemu Dkt, Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es salaam, leo Julai 11, 2013.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano w a Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji baadhi mume  wa marehemu, Profesa Maro,  wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt. Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam leo Julai 11, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baba wa marehemu Sir George Kahama sambamba na viongozi wengine wakati walipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam leo Julai 11, 2013.
Gari lililobeba mwili wa marehemu likiwasili katika makaburi ya Kinondoni kwa mazishi.
Mume wa marehemu Profesa Maro akiwa katika gari hilo na watoto wake.
Profesa Maro akiwasili makaburini.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii akitoa mkono wa pole kwa Profesa Maro.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa mkono wa pole kwa mfiwa.
Mama Salma Kikwete akitoa mkono wa pole.
Mama Salma Kikwete akimpa pole binti wa marehemu.
Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu.
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa pole kwa wafiwa.
Pole kwa wafiwa.

Pole kwa wafiwa


Sehemu ya waombolezaji


Rais Kikwete akiongea na Profesa Maro, mume wa marehemu


Waombolezaji wakiwa mazishini


Sehemu ya waombolezaji


Watoto na ndugu wa marehemu


Sala ya mazishi


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa na ndugu wa marehemu


Padri Paul Haule akiongoza mazishi


Profesa Maro akiweka udongo kaburini


Wazazi wa marehemu wakiweka udongo kaburini


Mama Anna Mkapa akiweka udongo kaburini


Rais Kikwete na Mama Salma wakiweka udongo kaburini


Fred Maro akiweka udongo kaburini


Babu na bibi wakiweka udongo kaburini


Ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu mazishini


Padri Paul Haule akiongoza mazishi


Profesa Maro akiweka shada la maua kaburini


Watoto wa marehemu wakiweka shada la maua


Wazazi wa marehemu wakiweka shada la maua


Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua kaburini


Mama Anna Mkapa akiweka shada la maua Kaburini


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadick akitoa heshima baada ya kuweka shada la maua kaburini


Babu na bibi wakiweka shada la maua kaburini


Sehemu ya waombolezaji


Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Dkt Hussein Mwinyi akiweka shada


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiweka saha la maua


Ndugu wa marehemu wakiweka shada la maua


Kaka na dada wa marehemu wakiweka shada


Kaka wa marehemu wakiweka shada la maua


Kaka wa mume wa marehemu na mkewe wakiweka shada la maua


Kaka wa marehemu na mkewe wakiweka shada


Kaka wa muwe wa marehemu na familia yake wakiweka shada


Kaka wa marehemu na mkewe wakiweka shada la maua


Kaka na mkwe wa marehemu wakiweka shada la maua


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiweka shada la maua


Ndugu wa marehemu wakiweka shada la maua


Mkuu wa hospitali ya Hindu Mandal Dkt Kaushik akiweka shada la maua


Madaktari wenzie marehemu wakiweka shada la maua kaburini


Dada wa marehemu akiweka shada la maua


Ndugu wa marehemu wakiweka shada la maua


madaktari ambao ni wana kwaya wakipeleka shada lao la maua kaburini


Msemaji wa familia akitoa shukrani zake baada ya zoezi la kuweka mashada ya maua kaburini.

No comments:

Post a Comment