Friday, July 12, 2013

PENNY AMFANYIA BONGE LA PATI MKWE WAKE

MWANADADA ambaye ni mchumba rasmi wa Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amemfanyia bonge la pati mama wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ ikiwa ni katika kusherehekea siku ya mzazi huyo ya kuzaliwa.
Pati hiyo ilifanyikia ndani ya     Hoteli ya Protea iliyopo Masaki jijini Dar na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.

Wakizungumzia pati hiyo, baadhi ya watu wa karibu wa Penny walisema amefanya kitu kizuri ambacho kinaweza kumfanya apendwe zaidi ukweni.

“Ameboresha uhusiano wake, unajua kwa alichokifanya hata akitofautiana na Diamond, mkwe anaweza kumsaidia kumuombea msamaha,”…

Na Imelda Mtema
MWANADADA ambaye ni mchumba rasmi wa Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amemfanyia bonge la pati mama wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ ikiwa ni katika kusherehekea siku ya mzazi huyo ya kuzaliwa.

Pati hiyo ilifanyikia ndani ya     Hoteli ya Protea iliyopo Masaki jijini Dar na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.
Wakizungumzia pati hiyo, baadhi ya watu wa karibu wa Penny walisema amefanya kitu kizuri ambacho kinaweza kumfanya apendwe zaidi ukweni.
“Ameboresha uhusiano wake, unajua kwa alichokifanya hata akitofautiana na Diamond, mkwe anaweza kumsaidia kumuombea msamaha,” alisema mmoja wa wasanii wa filamu Bongo.

No comments:

Post a Comment