Monday, July 29, 2013

BODI YA WAKURUGENZI WA BUKOBA FLOW ZONE WAKITEMBELEA VITUO MBALIMBALI VYA WATOTO YATIMA BUKOBA

    MMOJA WA WAKURUGENZI WA BUKOBA FLOW ZONE NDG. IBRAHIM KISESA AKIONGEA NA WATOTO WA KITUO CHA KULELEA  WATOTO YATIMA CHA UYACHO KILICHOPO  MAENEO YA HAMUGEMBE - BUKOBA MJINI.MKURUGENZI MTENDAJI WA BUKOBA FLOW ZONE AMOUD H. ZAHORO A.K.A KINGMUDDY AKIPIGA PICHA YA PAMOJA NA WATOTO WA KITUO HICHO.
 


 WATOTO WAKIWAOMBEA DUA WAGENI.
WAKURUGENZI WAKIWAAGA WATOTO.
BUKOBA FLOW ZONE INAWASHAURI WANA BUKOBA NA WADAU WENGINE WA MAENDELEO POPOTE MLIPO TANZANIA NA NJE YA NCHI, KUWATEMBELEA NA KUWAKUMBUKA WATOTO HAWA KWA CHOCHOTE.
     WATOTO NI WETU SOTE.

No comments:

Post a Comment