Mashabiki wa Uganda waliofika uwanjani kuipokea timu yao.
Wachezaji wa The Cranes walipowasili.
Kocha Sledojovik Micho na msaidizi wake, Sam Timbe, wakiwai na kikosi hicho.…
Mashabiki wa Uganda waliofika uwanjani kuipokea timu yao.
Wachezaji wa The Cranes walipowasili.
Kocha Sledojovik Micho na msaidizi wake, Sam Timbe, wakiwai na kikosi hicho.
Wakiingia kwenye basi waliloandaliwa.
Mwenyekiti wa Waganda wanaoishi Tanzania, Hellen Tusiime, alikuwa mkuu wa mapokezi hayo.
Wakiwa tayari kwa safari kuingia jijini.
TIMU ya taifa ya Uganda (The Cranes)
mchana huu imewasili uwanja wa ndege Dar es Salaam kwa ajili ya
kujiwinda kwa mchezo wao dhidi ya timu ya taifa (Taifa Stars)
unaotarajiwa kufanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Jumamosi
hii.
No comments:
Post a Comment