Saturday, March 1, 2014

YANGA WAIBUKA KIDEDEA

Kikosi cha timu ya Yanga SC.
Kikosi cha timu ya Al Ahly.
Mashabiki wa timu ya yanga wakiendelea kuangalia mechi ya Yanga na Al Ahly.
Hamisi Kiza (katikati mwenye jezi ya kijani) akiwania mpira.
Frank Domayo "Chumvi"akiwatoka wachezaji wa timu ya Al Ahly.
Mashabiki wa timu ya Al Ahly wakishangilia.
Timu ya Yanga leo wameibuka kidedea kwa kuizamisha Al Ahly bao moja kwa bila katika mchezo uliochezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mechi hiyo ni ya raundi ya kwanza ya ligi ya mabingwa Afrika. Mfungaji wa Yanga ni Nadir Haroub "Cannavaro" katika dakika ya 82 kipindi cha pili.

No comments:

Post a Comment