Thursday, March 20, 2014

BAADA YA WEZI KUMLIZA H BABA WAANZA KUVUJISHA WIMBO


Msanii wa muziki wa kizazi kipya H Baba amewalalamikia wezi waliomwibia vitu kwenye gari lake kwa kusambaza moja kati ya nyimbo zake ambazo bado hajawahi kuziachia, H Baba ametoa ombi kwa wezi hao warudishe flash disk yake tu na vitu vingine wachukue.

No comments:

Post a Comment