Saturday, March 15, 2014

PICHA INATISHA...KIJANA AFARIKI GHAFLA BAADA YA KULIPULIWA NA SIMU


Taarifa iloenea sehem tofauti za mji wa Zanzibar:-
Kuna kijana anajulikana kwa jina la Ally mkazi wa Michenzani (Kiswandui)jirani na kwa bi mkubwa stadi umri wake miaka 22 amefariki ghafla maghribi ya leo,taarifa zilopatikana sababu ya kifo chake ni kuwa :-

Alikuwa akicharge simu yake kwa kutumia laptop na wakati huo huo alikuwa anazungumza na mtu kupitia simu hiyo,baada ya cmu kupata joto kali(over heat),simu hiyo ilimripukia na kumuathiri sehemu za mikono,uso hasa upande aloweka simu hiyo na kupelekea kufariki dunia.??? ??? ???? ???? ????? Maziko kesho inshaallah saa 4 msikiti wa Gongoni tafadhali sambaza ujumbe huu kwa wote ili sisi tulio na tabia kama hiyo tuiwache mara moja.Allah amsameh dhambi zake na amuingize peponi

No comments:

Post a Comment