Friday, February 28, 2014

WASANII WAZINDUA KAMPENI YA KITAIFA KUISHINIKIZA SERIKALI KUWATAMBUA WASANII KIKATIBA

  • Leo asubuhi pande za Kinondoni Vijana Social Hall kulikua wasanii wa fani mbalimbali walikusanyika kuzindua kampeni ya kitaifa kuishinikiza serikali kuwatambua wasanii. Kuna maandamano ya amani pia yatafanyika sambamba na kumpongeza rais Jakaya Kikwete kwa kumteua mmoja wao ashiriki kwenye bunge la katiba

No comments:

Post a Comment